• 2. Nguzo za Ua wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-19)

  • Jan 24 2023
  • Duración: 1 h y 4 m
  • Podcast

2. Nguzo za Ua wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-19)

  • Resumen

  • Kifungu hiki kinaelezea juu ya nguzo, lango la pazia, mapazia ya kitani safi ya kusokotwa, mikanda, vishikizio, vikuku vya shaba, na vigingi vya shaba vya ua wa Hema Takatifu la Kukutania. Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa ni mahali ambapo Mungu alikaa. Kipimo cha huo ua wa mstatili ulikuwa ni takribani mita 45 (kwa upande wake wa kaskazini na kusini) kwa mita 22.5 (katika upande wake wa mashariki na magharibi). Kimsingi, Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa na umbo dogo lililokuwa na paa la lililokunjwa mara nne. Kwa upande mwingine, ua wa Hema Takatifu la Kukutania ulikuwa ni mpana kama uwanja wa wazi.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Más Menos
activate_WEBCRO358_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre 2. Nguzo za Ua wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-19)

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.