• Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

  • Nov 14 2022
  • Duración: 26 m
  • Podcast

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

  • Resumen

  • Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.