• Familia zatafuta wapendwa wao, Mombasa | Kisa Changu Podcast

  • Nov 6 2022
  • Duración: 20 m
  • Podcast

Familia zatafuta wapendwa wao, Mombasa | Kisa Changu Podcast

  • Resumen

  • Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa familia mbili kwenye eneo la Likoni katika Kaunti ya Mombasa zinaendelea kuhangaika kuwatafuta wapendwa wao ambao wanaaminika kuchukuliwa kwa nguvu na maafisa wa Idara ya Usalama. Tumesema na familia ya Bakari Mwanyota mwenye umri wa miaka 38 wa Mtaa wa Consolata na familia ya Tunu Said mwenye umri wa miaka 55. Familia hizo mbili zinasema wapendwa wao walichukuliwa kwa nguvu mwezi Februari na Julai, 2021 na hadi sasa hawajui waliko. Robert Menza amezungumza na familia za wawili hao katika makala haya ya Kisa Changu Podcast.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Familia zatafuta wapendwa wao, Mombasa | Kisa Changu Podcast

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.