• Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

  • Jun 17 2022
  • Duración: 8 m
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

  • Resumen

  • Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo. Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.