• Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda

  • Jun 19 2022
  • Duración: 10 m
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda

  • Resumen

  • Dennis Mwenda ambaye ni dereva vilevile msaidizi katika mashindano ya Dunia ya Safari Rally anasema magari ambayo yanatumika na Wakenya katika mashindano ya Safari Rally ya WRC ni ya viwango vya chini. Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Dennis anasema kutokana na ukosefu wa ufadhili ni vigumu sana kupata magari vya viwango vya juu kutokana na gharama. Dennis ambaye vilevile anaelezea safari yake katika uendeshaji magari ni miongoni mwa madereva ambao watashiriki mashindano ya Safari Rally makala ya mwaka 2022.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.