• Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

  • Jul 31 2022
  • Duración: 7 m
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

  • Resumen

  • Wanariadha wenye asili ya Kenya wamekuwa wakikiwakilisha mataifa mbalimbali baada ya kubadili uraia. Merekani, Canada, Bahrain, Qatar, Israel ni miongoni mwa mataifa ambayo yamenufaika pakubwa kutoka kwa wanariadha waliozaliwa nchini Kenya. Mwanahabari wetu Walter Kinjo alizungumza na aliyekuwa Kocha wa timu ya taifa ya Riadha Mike Kosgei ambaye ameweka wazi sababu ambazo zimechangia wanariadha kubadili uraia.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.