• Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

  • Jan 20 2022
  • Duración: 43 m
  • Podcast

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

  • Resumen

  • Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.