• Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.

  • Nov 10 2022
  • Duración: 14 m
  • Podcast

Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.

  • Resumen

  • Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi katika gumzo hili wakiwamo vijana waliojaribu mapenzi ya mtandaoni vilevile mshauri kulihusu suala hili.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.