• Kijiji Cha Walemavu, Bungoma | Kisa Changu Podcast

  • Oct 15 2022
  • Duración: 12 m
  • Podcast

Kijiji Cha Walemavu, Bungoma | Kisa Changu Podcast

  • Resumen

  • Kijijini Namawanga, kilichoko eneo la Busunu Kaunti ya Bungoma kuna takriban familia 27 hivi. Kisicho cha kawaida ni kwamba katika kila familia kuna angalau mtoto mmoja mwenye ulemavu. Wapo waliozaliwa wakiwa na matatizo kuona, kuna wengine waliozaliwa bila viungo vya mwili kama vile miguu na mikono na wengine wanaugua ugonjwa wa seli-mundu yaani sickle cell. Duncan Waswa amefika katika kijiji hicho na kuzungumza na baadhi ya wakazi. Haya hapa masimulizi yao ya kuhuzunisha. Duncan Waswa amefika katika kijiji hicho na kuzungumza na baadhi ya wanakijiji. Haya hapa masimulizi yao ya kuvunja moyo.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Kijiji Cha Walemavu, Bungoma | Kisa Changu Podcast

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.