• Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1

  • Aug 4 2022
  • Duración: 25 m
  • Podcast

Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1

  • Resumen

  • Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Machakos Rose Museo ana ulemavu. Museo aliyepata ulamavu huo ulemavu kufuatia ajali mwaka 2007 anasema changamoto hiyo haikumzuia kufanikisha ndoto yake ya kuwa kiongozi. Rose Mukonyo amezungumza naye anafafanua zaidi huku akiwashauri wanawake wengine wenye ulemavu kwamba wanaweza.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.