• Kisa Changu Podcast: Uraibu wa mihadarati ulizamisha ndoto zangu maishani

  • Jul 23 2022
  • Duración: 17 m
  • Podcast

Kisa Changu Podcast: Uraibu wa mihadarati ulizamisha ndoto zangu maishani

  • Resumen

  • Silas Githaiga, mkazi wa Kijii cha Giciria, Kaunti ya Nyeri alikuwa mraibu wa mihadarati kwa miaka takriban 14. Anasema uraibu huo ulilemaza masomo yake na akiwa katika shule ya upili alisomea shule nne tofauti kwa vile alikuwa akifukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu. Anasema tatizo hilo liliathiri ndoa yake likazima ndoto ya kuwa mhadhiri wa chuo kikuu na hata safari yake ya kwenda ughaibuni. Hata hivyo aliamua kurekebisha na hapo ndipo alipojiunga na chuo cha urekebishaji tabia. Kwa sasa maisha yake yamebadilika na ameamua kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha vijana dhidi ya utumiaji wa dawa za kulevya vilevile kuwapa ushauri nasaha. Pata masimulizi kamili katika Kisa Changu Podcast na Edwin Mbugua.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Kisa Changu Podcast: Uraibu wa mihadarati ulizamisha ndoto zangu maishani

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.