• Mchango kwenye Open Source Community na Kalebu

  • Jun 6 2021
  • Duración: 25 m
  • Podcast

Mchango kwenye Open Source Community na Kalebu

  • Resumen

  • Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na Leo ninazungumza na Kaleb Gwalugano. Kaleb ni Software Developer na nilifanya mazungumzo nae kuhusu mchango wake kwenye Open Source community. Je, unadhani

    1. Kuna wajibu kutoa mchango wako kutengeneza na kusaidia Open Source project?

    2. Na vipi unaweza kabiliana na mani hasi wakati ukiwa unajaribu kusaidia Open Source project.

    Basi waambie wengine unaweza kusikiliza Yesaya Software Podcast kupitia Google au Apple Podcast vilevile kwenye Spotify au Amazon Music. Pia kuna Youtube channel ya Yesaya Software ambayo ninawek a video kuhusu programming na zipo tutorial kadhaa unazoweza ziangalia.

    Más Menos

Lo que los oyentes dicen sobre Mchango kwenye Open Source Community na Kalebu

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.