• Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast

  • Oct 29 2022
  • Duración: 12 m
  • Podcast

Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast

  • Resumen

  • Bernard Kibet amekuwa bawabu kwa zaidi ya miaka kumi. Japo kazi hii imemwezesha kuilisha familia yake na kuwasomesha watoto wake ni kazi ii hii ambayo imemsababishia machungu ambayo hatawahi kusahau kamwe. Kibet anasema wakati mmoja genge la majambazi lililokuwa kwenye eneo lake la kazi liliiba na kumpiga risasi kichwani bila kukusudia. Waliomwokoa walimchanganya na mili minane bila kukusudia tayari kupeleka katika hifadhi ya maiti lakini kwa bahati nzuri aliokolewa. Ilikuwa aje? Martin Ndiema amefanya mezungumzo na Kibet katika Podcast hii.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.