• NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast

  • Jun 13 2021
  • Duración: 15 m
  • Podcast

NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast  Por  arte de portada

NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast

  • Resumen

  • 10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
    Waefeso 6:10

    11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
    Waefeso 6:11

    12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
    Waefeso 6:12

    13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
    Waefeso 6:13

    14 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani,
    Waefeso 6:14

    15 na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani;
    Waefeso 6:15

    16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
    Waefeso 6:16

    17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
    Waefeso 6:17

    18 kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
    Waefeso 6:18
    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.