• Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers

  • Nov 16 2022
  • Duración: 24 m
  • Podcast

Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers

  • Resumen

  • Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi.

    Ndugu yangu, sikuwahi kujua event ya developers kuwa na wahudhuliaji zaidi ya 3000, vyombo kuletwa na kontena la 40 futi. Yaani nina mengi kukubadilisha mtazamo lakini nikaelewa ndio maana makampuni makubwa ya TEHAMA duniani yana ofisi Kenya.

    DevFestDar RSVP: http://zipa.me/devfestdar 

    Be a Speaker: https://sessionize.com/devfest-dar-es-salaam

    Más Menos

Lo que los oyentes dicen sobre Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.