Episodios

  • Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"
    Aug 16 2024
    Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.
    Más Menos
    10 m
  • Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024
    Aug 16 2024
    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.
    Más Menos
    16 m
  • Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua
    Aug 16 2024
    Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.
    Más Menos
    14 m
  • Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"
    Aug 14 2024
    Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.
    Más Menos
    10 m
  • Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024
    Aug 13 2024
    Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.
    Más Menos
    16 m
  • Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu
    Aug 13 2024
    Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.
    Más Menos
    14 m
  • Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024
    Aug 9 2024
    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.
    Más Menos
    19 m
  • Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa
    Aug 9 2024
    Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.
    Más Menos
    9 m