SHADOTUBE  Por  arte de portada

SHADOTUBE

De: DENIS LEONARD NTABULUGWA
  • Resumen

  • Nimetengeneza hii Podcast kwa makusudi makuu matatu, Kwanza ninapenda kufanya, pili ni kwa lengo la kusaidia wengine na tatu ni kwaajili ya kufika mbali .Bila kujali ni mahali gani umetokea au kukulia nitajitahidi kwa njia zangu zote nilizojifunza na kufundishwa na wengine kukusaidia ili kuweza kutimiza haja, nia na ndoto yako juu ya mambo usio ya fahamu ya teknolojia, katika mfumo wa video na audio. Nimeanza kujifunza ni namna gani ya kusaidia wengine nikiwa bado mdogo na haya yote nimeyapata baada ya kuweza kupitia changamoto mbali mbali ambazo zimenifanya nithubutu kusaidia.
    DENIS LEONARD NTABULUGWA
    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT
Episodios
  • Mafundi certified kutoka apple nchini Tanzania
    Jun 8 2024
    Waone mafundi hawa watakusaidia kutengeneza simu yako.
    Más Menos
    3 m
  • Tuongee Technology
    Apr 29 2024
    Ningependa sana tuongee swala hili la technology kwenye maximam
    Más Menos
    2 m
  • Tanzania Content Creators
    Apr 21 2024
    Nini tufanye sisi kama vijana wa kitanzania ambao tunatamani kufika mbali, tunatamani kuona wanaptuzunguka wanajifunza kutoka kwetu.
    Más Menos
    2 m

Lo que los oyentes dicen sobre SHADOTUBE

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.