• SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

  • Jan 13 2023
  • Duración: 48 m
  • Podcast

SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

  • Resumen

  • “Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi” unaweza kuchuliwa kuwa ni hazina ya Biblia. Inahusika zaidi na namna ya mtu awezavyo kupata haki ya Mungu kwa kuiamini Injili ya maji na Roho. Ukilinganisha Waraka kwa Warumi na ule Waraka wa Yakobo, wapo wanaouelezea huu wa kwanza kama “maneno mfano wa mrija wakufyonzea” Hata hivyo Yakobo ni neno la Mungu kama ilivyo Warumi.Tofauti pekee ni kwamba, katika Warumi ni wathamani kwa sababu unatoa mtazamo wa kijumla katika biblia, hali Yakobo uthamani wake nao upo katika neno ambalo linalowawezesha wenye haki kuishi kwa mapenzi ya Mungu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Más Menos

Lo que los oyentes dicen sobre SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.