• SURA YA 7-3. Sababu Inayotufanya Tumsifu Bwana (Warumi 7:5-13)

  • Jan 13 2023
  • Duración: 29 m
  • Podcast

SURA YA 7-3. Sababu Inayotufanya Tumsifu Bwana (Warumi 7:5-13)

  • Resumen

  • Ninamsifu Bwana ambaye ameniongoza hadi kuonana na ninyi watu wa Mungu kwa mara nyingine tena. Kwa kweli ninamshukuru sana Mungu kwa kunibariki na kunifanya niishi maisha yenye furaha hadi leo hii. Mungu ameendelea kuwa pamoja nami na amekuwa akinihurumia ingawa kulikuwa na nyakati ambazo nilikuwa najisikia kukatishwa tamaa, nyakati ambazo nilikutana na magumu na kupata udhaifu ndani yangu katika vipindi mbalimbali. Mungu amekuwa makini na amekuwa upande wangu katika maisha yangu yote katika shida na katika furaha. Hakukuwa na wakati wowote ambapo Mungu aliniacha hata kwa sekunde moja.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Más Menos

Lo que los oyentes dicen sobre SURA YA 7-3. Sababu Inayotufanya Tumsifu Bwana (Warumi 7:5-13)

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.