• SURA YA 8-1. Matarumbeta Yanayoyatangaza Mapigo Saba (Ufunuo 8:1-13)

  • Jan 14 2023
  • Duración: 12 m
  • Podcast

SURA YA 8-1. Matarumbeta Yanayoyatangaza Mapigo Saba (Ufunuo 8:1-13)

  • Resumen

  • Ufunuo 8 inaeleza juu ya mapigo ambayo Mungu atayaleta juu ya dunia hii. Moja kati ya maswali ya msingi hapa ni kwamba watakatifu watahusishwa ama kutohusishwa katika kuteseka chini ya mapigo hayo. Biblia inatueleza kuwa watakatifu pia, watayapitia mateso ya matarumbeta saba. Kati ya mapigo saba, watakatifu watayapitia mapigo yote isipokuwa ni lile pigo la mwisho. Mapigo haya saba ya matarumbeta yanayoonekana katika sura hii ni mapigo halisi ambayo Mungu atayaleta duniani. Mungu anatueleza kuwa atauadhibu ulimwengu kwa mapigo ambayo yataanza kwa sauti za matarumbeta saba ya malaika.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Más Menos

Lo que los oyentes dicen sobre SURA YA 8-1. Matarumbeta Yanayoyatangaza Mapigo Saba (Ufunuo 8:1-13)

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.