• Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

  • Oct 16 2021
  • Duración: 20 m
  • Podcast

Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

  • Resumen

  • Wakenya wanatoa maoni kuhusu ahadi za Raila Odinga na William Ruto. Baadhi wanasema ahadi zao ni ndoto tu huku wengine wakiwa na matumaini kwamba watatekeleza. Aidha, Wakenya wameshabikia kuharamishwa kwa mpango wa Huduma Namba. Je, rufaa ya serikali itafaulu? Wanahabari wetu wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu masuala haya.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.