• Siasa Podcast: Hatutaki Siasa Makanisani - Askofu Anthony Muheria

  • Sep 13 2021
  • Duración: 13 m
  • Podcast

Siasa Podcast: Hatutaki Siasa Makanisani - Askofu Anthony Muheria

  • Resumen

  • Hatua ya Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana, Jackson Ole Sapit kuwanyima fursa wanasiasa kuhutubu katika mimbari kwenye halfa aliyokuwa akiongoza katika Eneo Bunge la Butere, Kaunti ya Kakamega, imeendelea kuibua mijadala mikali. Je, ndio mwisho wa maendeleo na ujenzi wa makanisa baada ya wanasiasa kunyimwa fursa ya kuzungumza mimbarini? Mwanahabari wetu Victor Mulama amemhoji Askofu wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Nyeri Anthony Muheria ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Madhehebu la Kushughulikia Kanuni za Kuzingatiwa katika Maeneo ya Ibada.​
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Siasa Podcast: Hatutaki Siasa Makanisani - Askofu Anthony Muheria

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.