• Siasa Podcast. Lonyangapuo: Kibaki alinikuza kisiasa

  • Apr 23 2022
  • Duración: 13 m
  • Podcast

Siasa Podcast. Lonyangapuo: Kibaki alinikuza kisiasa

  • Resumen

  • Wiki hii katika Siasa Podcast tunaangazia maisha ya Hayati Mwai Kibaki ambaye alikuwa Rais wa tatu wa Taifa la Kenya. Kibaki anakumbukwa kuwa kiongozi aliyebuni mbinu mbalimbali za kuinua uchumi wa taifa na kukabili chagamoto zilizokumba taifa. Aidha, alizipa nafasi jamii ambazo zilihisi kutengwa wakati wake nafasi uongozini. Faith Kutere amezungumza na Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi, John Lonyangapuo ambaye anadai kuwa safari yake ya kisiasa ilianza baada ya Mwai Kibaki kutambua jamii yake na kumpa nafasi ya kwanza ya uongozi akiwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Viwanda.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Siasa Podcast. Lonyangapuo: Kibaki alinikuza kisiasa

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.