• Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

  • Apr 28 2023
  • Duración: 28 m
  • Podcast

Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki  Por  arte de portada

Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

  • Resumen

  •  “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.