• The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi".

  • Nov 1 2022
  • Duración: 51 m
  • Podcast

The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi".  Por  arte de portada

The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi".

  • Resumen

  • Dunia ya kidigitali ndio dunia ya sasa, kila kitu kina athiriwa moja kwa moja na teknolojia, tunaposema kila kitu tunamaanisha mpaka kwenye kazi na ajira. Tunakutana na Ashura ambae ni mmja wa waanzilishi wa jukwaa la wafanyakazi huru linalofahamika kama Gigspace.


    Ashura anatueleza mengi kuhusu wazo lake la kutoka kua mfanyakazi huru, mpaka kuunda jukwaa lake la wafanya kazi huru (Freelancers), kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake.


    The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi"


    Cheers!


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi".

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.