• The Founders with Edgar's Confessions - "Vibes and Inshallah".

  • Apr 27 2022
  • Duración: 37 m
  • Podcast

The Founders with Edgar's Confessions - "Vibes and Inshallah".  Por  arte de portada

The Founders with Edgar's Confessions - "Vibes and Inshallah".

  • Resumen

  • Kutana na Edgar Mwampinge ambae ni Mwanzilishi wa kampuni inayofahamika kama WorkNasi pamoja na HEPHA. Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake, kutoka kua muhitimu wa shahada ya sheria mpaka kua mwanzilishi wa kampuni za teknolojia.


    Changamoto zipo na zinabadilika kadiri unavyoendelea kukua. Lakini kuna changamoto chache mwanzoni unapokua mwanzilishi. Na hizi chache ndio hufahamika zaidi.


    1. Namna ya kuanza hasa katika yale ambayo huna utashi nayo au elimu.
    2. Uchumi ni changamoto ambayo haikwepeki kwa wengi.
    3. Mazingira rafiki pia hua ni changamoto, kutokana na aina ya kampuni/biashara.


    Lakini katika yote haya Edgar bado anatuaminisha kwamba bado inawezekana kuanzisha kampuni/biashara yako. Kama yeye alifanikiwa basi na wewe unaweza kufanikiwa.


    The Founders Confessions - "Vibes and Inshallah"


    Cheers!


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre The Founders with Edgar's Confessions - "Vibes and Inshallah".

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.