• The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba".

  • Jul 27 2022
  • Duración: 1 h y 15 m
  • Podcast

The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba".  Por  arte de portada

The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba".

  • Resumen

  • Kama umewahi kusikia ile methali inayosema "Ukitaka mali utaipata shambani" basi kuna watu wanaweza kukuelezea maana yake vizuri zaidi. Mfahamu Lucas Malembo ambae ni CEO wa Malembo Farm. Ametufahamisha mengi sana kuhusu kilimo biashara, mtazamo wa wengi kuhusu biashara kupitia kilimo ni hasi, wengi hudhani kua sio rahisi kufanikiwa au ni kazi ya waliochoka kimaisha, Je ni kweli?.


    Lucas anatuaminisha wazi kabisa anatamani wengi, hasa vijana kujitokeza katika fursa za kilimo, maana kuna pesa na utajiri mkubwa. Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwake, kwanzia mwanzo wa safari yake, hapa alipo na anapoelekea. Unatamani kutengeneza pesa kupitia kilimo? Maswali yako mengi Lucas amekupa majibu yake!. Enjoy and Learn.


    The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba"


    Cheers!


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba".

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.