• The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy".

  • Jul 11 2022
  • Duración: 53 m
  • Podcast

The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy".  Por  arte de portada

The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy".

  • Resumen

  • Katika kila jambo kunahitaji nguvu kubwa kufika kule ambako unapotaka. Mfahamu Muddy Mabiriani, mtanzania alieacha ajira na kuamua kujishughulisha na uuzaji wa chakula akiwa mbobevu wa "Biriani". Ndoto zake na mitazamo yake kuhusu biashara anayofanya kwa ujumla vinafanya awe jinsi alivyo na ndivyo vimemfikisha hapa alipo mpka sasa.


    Kuna story nyingi sana unaweza kua unazisikia kuhusu yeye na biashara yake lakini waswahili wanasema "Ukitaka kujua utamu wa ngoma basi ingia uicheze". Tukakaa na muddy kupiga nae story kuhusu biashara yake, mwanzo wake alipo na anapotaka kufika. Kuna mengi sana unaweza kujifunza kwake, unaweza ukatafakari katika safari yako ya kuanzisha kile ambacho una kitaka either ni biashara au kampuni, ni wapi upite na wapi usipite. Karibu ujifunze kutoka kwa Muddy!


    The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu Udambu wa Muddy"


    Cheers!


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

Lo que los oyentes dicen sobre The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy".

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.