• Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

  • Jun 16 2022
  • Duración: 12 m
  • Podcast

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

  • Resumen

  • Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo hutumiwa katika kutongoza? Msichana naye anaweza kufanya nini ili kumvutia mwanamume ambaye anampenda bila kutoa taswira kwamba ndiye anayemfukuzia mwanamume? Vijana na washauri wanatoa kauli zao kuihusu mada hii.
    Más Menos
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

Lo que los oyentes dicen sobre Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.