• CBC irekebishwe; Humphrey Obarah

  • Aug 27 2022
  • Length: 15 mins
  • Podcast

CBC irekebishwe; Humphrey Obarah

  • Summary

  • Katibu Mkuu wa Shirikisho la Talanta Duniani Profesa Humphrey Oborah, ambaye alivumbua kifaa cha kupima talanta na uwezo wa mwanafunzi kimasomo anaiataka serikali mpya kuifanyia sekta ya elimu nchini mageuzi ili kuhakikisha kuwa inaafikia malengo yake. Obarah anapendekeza Wizara ya Elimu kufanyiwa marekebisho na kuundwa kwa Wizara ya Masomo ambayo itahakikisha kuwa mageuzi yanafanyika katika sekta ya elimu nchini. Kwenye mazungumzo na Faith Kutere, Oborah aidha anapendekeza Mtaala wa Umilisi CBC kurekebishwa ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about CBC irekebishwe; Humphrey Obarah

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.