• COMPANIONSHIP BY PASTOR JANE

  • Apr 16 2024
  • Length: 34 mins
  • Podcast

COMPANIONSHIP BY PASTOR JANE

  • Summary

  • Mhubiri 4:9-12 Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao. Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua! Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto? Hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake, wawili watampinga; wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi

    Show more Show less

What listeners say about COMPANIONSHIP BY PASTOR JANE

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.