• Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

  • Sep 26 2021
  • Length: 32 mins
  • Podcast

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

  • Summary

  • Kenya inapochangamkia Mtalaa wa Umilisi (CBC), mwanafunzi mwenye mahitaji spesheli anashughulikiwaje?Mwalimu Frank Otieno amezumgumza na Daktari Festo Ndonye, ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi, Idara ya Elimu Spesheli na Eva Nabutuni, mwandishi wa kitabu cha kufunza walimu na wazazi kuhusu elimu ya wenye mahitaji spesheli.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.