• Elimu: Siku ya Kiswahili Duniani (UNESCO); tukitumie ofisini, siasani....

  • Jan 20 2022
  • Length: 24 mins
  • Podcast

Elimu: Siku ya Kiswahili Duniani (UNESCO); tukitumie ofisini, siasani....

  • Summary

  • Kiswahili ambacho ni lugha ya kitaifa na rasmi nchini Kenya kinazidi kupiga hatua duniani licha ya changamoto mbalimbali kuhusu matumizi yake nchini Kenya. Hatua kubwa zaidi katika maendeleo ya lugha hii ni kuhusu Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kuipa hadhi lugha hii kwa kutangaza Julai saba kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Mwaka wa 2021, magwiji na wakereketwa mbalimbali wa Kiswahili nchini Kenya wamezidisha sauti zao kuhusu haja ya Kiswahili kutumiwa katika mazingira rasmi kwani ni dhahiri kuwa Kiingereza kingali kupaumbele cha wengi katika maeneo ya kazi. Geoffrey Mung’ou ameandaa makala maalumu kuhusu hali ya Kiswahili, hatua zilizopigwa na yanayohitajika kufanywa ili kukabili changamoto kukihusu.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Elimu: Siku ya Kiswahili Duniani (UNESCO); tukitumie ofisini, siasani....

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.