• Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

  • Mar 3 2022
  • Length: 8 mins
  • Podcast

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

  • Summary

  • Paul Kurgat aliwahi kuwa Balozi wa Kenya nchini Ukraine na pia alisomea Ulaya, hasa Urusi. Kwenye Elimu Podcast, Balozi Kurgat anazungumza na Faith Kutere kuhusu elimu nchini humo na kulinganisha na mfumo wa elimu nchini Kenya. Pia anaeleza jinsi ambavyo vita kati ya Ukraine na Urusi vitakavyowaathiri wanafunzi wanaosomea huko.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.