• Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

  • Aug 17 2022
  • Length: 23 mins
  • Podcast

Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

  • Summary

  • Esther Cherobon alikuwa katika darasa moja na Rais Mteule, William Ruto katika Shule ya Msingi ya Kamagut kwenye Eneobunge la Turbo katika Kaunti ya Uasin Gishu. Cherobon anasema kuwa Ruto alikuwa mwerevu sana shuleni na alipofanya mtihani wa wa CPE mwaka 1980 aliibuka wa kwanza kwenye eneo zima kwa kupata alama 33 juu ya 36. Anasema wazazi wa Ruto walikuwa waanzilishi wa kanisa la AIC hivyo kumkuza pamoja na nduguze kwa kuzingatia dini. Licha ya kulelewa katika mazingira ya umasikini, Ruto alitia bidii masomoni akilenga kubadili hali yake na ya familia yake. Faith Kutere amemhoji kwenye Siasa Podcast wiki hii.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.