• Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

  • Sep 22 2022
  • Length: 9 mins
  • Podcast

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

  • Summary

  • Katika miaka ya hivi karibuni, jamii imekuwa ikiyafanya kipaumbele maslahi ya mtoto wa kike baada ya kukandamizwa kwa miaka mingi. Wengi sasa wamepata nafasi ya kusoma na hata kuajiriwa. Lakini kuna wanaoamini kwamba mwanamke anapopata kazi na kuwa na cheo katika jamii, mara nyingi hujawa kiburi. Suala hili tunaliangazia kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile kupata ushauri kuhusu masuala ya ndoa.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.