• Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast

  • Sep 24 2022
  • Length: 7 mins
  • Podcast

Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast

  • Summary

  • Stephen Kwisis, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Laikipia ana machungu baada ya kukosa kufaulu katika azma yake ya kuwa mbunge wakati wa uchaguzi mkuu wa Agosti 9, mwaka 2022. Kwisis mwenye umri wa miaka 24 anasema alitumia fedha za mkopo wa kufadhili elimu ya chuo kikuu, HELB kufanyia kampeni. Mwanasiasa huyo mchanga aliyekuwa akikabiliana na washindani 13 alipata kura 156 pekee. Amezungumza na Duncan Waswa kuhusu masaibu yanayomkumba katika masimulizi yafuatayo.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.