• Taarifa ya Habari 12 Julai 2024
    Jul 12 2024
    Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
    Show more Show less
    16 mins
  • Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari
    Jul 12 2024
    Ni wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.
    Show more Show less
    5 mins
  • Taarifa ya Habari 11 Julai 2024
    Jul 11 2024
    Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
    Show more Show less
    6 mins
  • Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"
    Jul 10 2024
    Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.
    Show more Show less
    8 mins
  • Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?
    Jul 9 2024
    Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
    Show more Show less
    12 mins
  • Taarifa ya Habari 9 Julai 2024
    Jul 9 2024
    Wakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.
    Show more Show less
    19 mins
  • Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia
    Jul 9 2024
    Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.
    Show more Show less
    12 mins
  • Taarifa ya Habari 5 Julai 2024
    Jul 5 2024
    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
    Show more Show less
    19 mins