• Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

  • May 11 2023
  • Length: 16 mins
  • Podcast

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki  By  cover art

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

  • Summary

  •  “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

What listeners say about Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.