• Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

  • Apr 14 2023
  • Length: 22 mins
  • Podcast

Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.  By  cover art

Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

  • Summary

  • Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchi.


    In this Episode Marygoreth Richard talks to Gibson Kawago who is the Founder of Wanted Garage (WAGA), that reuses laptop batteries to provide affordable, reliable, and durable lithium-ion battery solutions. Through WAGA, Gibson can help rural dwellers access off-grid clean and affordable energy for lighting and power solutions.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
activate_primeday_promo_in_buybox_DT

What listeners say about Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.