• UTANGULIZI

  • Apr 9 2023
  • Length: 1 min
  • Podcast

  • Summary

  • Podcast hii imelenga kukupatia maarifa, elimu na taarifa za msingi, ambazo zitamuwezesha mkulima au mtu anaetaka kuingia katika kilimo na ufugaji kuweza kufanya kilimo biashara. Podscast hii imetengenezwa kwa kukusanya maoni na uzoefu kutoka kwa wakulima waliofanikiwa, wataalamu mbalimbali na wadau wengine kuweza kuhakikisha tunakuletea kilichobora zaidi.
    Wasiliana nasi kwa msaada, elimu au usaidizi zaidi +255764 148 221
    KAMA UMEJIFUNZA UNAWEZA KUSAPPORT KAZI YETU
    M-PESA +255764 148 221 IMANI LUBABA EMMANUEL
    CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL
    TAJIRIKA KUPITIA KILIMO NA UFUGAJI

    Show more Show less
activate_WEBCRO358_DT_T2

What listeners say about UTANGULIZI

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.