• Vijana na Mapenzi Podcast: Je, wanaume ni watu wa kuaminika kuhusu upangaji uzazi?

  • May 26 2022
  • Length: 12 mins
  • Podcast

Vijana na Mapenzi Podcast: Je, wanaume ni watu wa kuaminika kuhusu upangaji uzazi?

  • Summary

  • Katika siku za hivi karibuni yamekuwapo majaribio ya dawa za upangaji uzazi ambazo pia zinaweza kutumika miongoni mwa wanaume. Iwapo dawa hizo zitaanza kutumika, je, wanaume wanaweza kuaminika katika kuzimeza dawa hizo ama utakuwa mchezo wa paka na panya kati yao na wake zao? Tumezungumza na wananchi vilevile mshauri kulihusu suala hili.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Vijana na Mapenzi Podcast: Je, wanaume ni watu wa kuaminika kuhusu upangaji uzazi?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.