• Wanafunzi pacha; alama sawa, KCPE na KCSE

  • Apr 28 2022
  • Length: 14 mins
  • Podcast

Wanafunzi pacha; alama sawa, KCPE na KCSE

  • Summary

  • Brooke na Chelsea Sagala ni pacha ambao wamekuwa wakipata alama sawa au zinazokaribiana tangu walipoanza masomo. Wawili hawa walipata gredi ya B- ya alama 57 na kupata alama sawa kwenye masomo yote katika KCPE. Aidha, walipata alama sawa ya 380 kwenye mtihani wa KCPE. Faith Kutere amezungumza na pacha hawa ambao wanasema kuwa licha ya kutia bidii na kushindana masomoni, wamekuwa wakipata alama sawa. Wawili hawa wanalenga kujiunga na Chuo Kikuu cha Katoliki na kusomea uanasheria wakiwa na matumaini kuwa hawatatenganishwa na chochote maishani.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Wanafunzi pacha; alama sawa, KCPE na KCSE

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.