Episodios

  • KotlinConf kwa Mara ya Kwanza Dar es Salaam - GDG Dar es Salaam
    Jun 7 2024

    GDG Dar es Salaam kwa mara ya kwanza inakuletea #KotlinConf itakayofanyika tarehe 08/06/2024. RSVP Link: https://gdg.community.dev/events/details/google-gdg-dar-es-salaam-presents-gdg-dar-presents-kotlin-conf-global-2024/

    Más Menos
    21 m
  • Exploring Sarufi and Neurotech: A Conversation with Kalebu
    May 21 2024

    In this episode, we had a fantastic discussion about all things related to Sarufi and Neurotech with Kalebu. Tune in to the conversation to learn more.

    Más Menos
    1 h y 12 m
  • Switching/Sticking to Programming Languages
    Aug 10 2023

    Join the conversation with Yesaya and Anderson to talk about Switching/Sticking to Programming Languages.

    Más Menos
    1 h y 7 m
  • Andika Ujumbe wa Msaaada Utakaojibiwa na Mtu Mwenye Followers Wengi
    Jan 30 2023

    Kwenye episode hii nimeeleza kwa kina namna ya kuandika ujumbe wa kuomba msaada kwa mtu mwenye followers wengi. Yawezekana ni programmer au mtu mwenye uzoefu kwenye eneo fulani.

    Más Menos
    6 m
  • Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers
    Nov 16 2022

    Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi.

    Ndugu yangu, sikuwahi kujua event ya developers kuwa na wahudhuliaji zaidi ya 3000, vyombo kuletwa na kontena la 40 futi. Yaani nina mengi kukubadilisha mtazamo lakini nikaelewa ndio maana makampuni makubwa ya TEHAMA duniani yana ofisi Kenya.

    DevFestDar RSVP: http://zipa.me/devfestdar 

    Be a Speaker: https://sessionize.com/devfest-dar-es-salaam

    Más Menos
    24 m
  • Mambo Matatu (3) Muhimu kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Chuo
    Oct 14 2022

    Tunapoelekea kufungua vyuo, nimeona ni vyema kuwapa abc wanafunzi wa mwaka wa kwanza hasa katika kozi za TEHAMA.

    Nimeweka mambo matatu (3) muhimu ya kuzingatia, unaweza niachia maoni yako kule Twitter @yesayasoftware.

    Video version unaweza kuipata hapa: https://youtu.be/n0mmLeqDlmc

    Más Menos
    9 m
  • Nitumie Browser Gani?
    Apr 16 2022

    Browser ni software application for retrieving, presenting and traversing information resources on the World Wide Web. Lakini pia inawezesha kucapture au kuinput taarifa ambayo inaweza kurudishwa kwa mfumo unaowasilisha, kisha kuhifadhiwa au kuchakatwa inapohitajika.

    Más Menos
    20 m
  • Usijisikie Vibaya Kugoogle
    Mar 26 2022

    Hey, Mambo vipi,

    Leo tutazungumza kuhusu kugoogle au kutafuta majibu ya changamoto unapokuwa kwenye ujenzi wa mfumo. Je, unajisikia vibaya unapogoogle mambo kwenye mtandao kama programmer unanielewa nikisema Stack Overflow. Lakini je, kugoogle kunakufanya wewe kuwa programmer mbaya?

    Nitakueleza kwa uzoefu wangu pamoja na programmers mashuhuri kabisa ninaowafahamu ambao pia wameshare uzoefu wao katika hili. Nitakueleza pia kuna time unagoogle na hutapata kitu lakini kuna mtu unamjua ana uzoefu na sala unalohaingaika nalo, nakumbuka usemi wa waswahili, KUULIZA sio Ujinga.  

    Hii ni Yesaya Software Podcast episode namba 34.

    Más Menos
    16 m