• Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake.

  • Sep 11 2024
  • Length: 26 mins
  • Podcast

Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake.

  • Summary

  • Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Emmanuel Elias Mganga, kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Ilemela Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza nikijibu swali la Msikilizaji linalosema katika maandiko Bibilia imegawajika katika sehemu mbili Agano la Kale na Jipya, anaomba kufahamu uhusiano wake katika mgawanyiko huo?

    L'articolo Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
activate_WEBCRO358_DT_T2

What listeners say about Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake.

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.