Radio Maria Tanzania

By: Radio Maria Tanzania
  • Summary

  • Radio Maria Tanzania
    Show more Show less
activate_WEBCRO358_DT_T2
Episodes
  • Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake.
    Sep 11 2024

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Emmanuel Elias Mganga, kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Ilemela Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza nikijibu swali la Msikilizaji linalosema katika maandiko Bibilia imegawajika katika sehemu mbili Agano la Kale na Jipya, anaomba kufahamu uhusiano wake katika mgawanyiko huo?

    L'articolo Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    26 mins
  • Mfahamu Mfalme Daudi mema alioyafanya katika Utawala wake.
    Sep 11 2024

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, katika kipindi cha Ujumbe wa Bibilia, ikiwa ni muendelezo wa mada ya kukoseana na kusamehana na leo anamzungumzia mfalme Daudi.

    L'articolo Mfahamu Mfalme Daudi mema alioyafanya katika Utawala wake. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    28 mins
  • Je, wafahamu tafakari ya maneno alio ya toa Yesu Msalabani?
    Sep 11 2024

    Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Studio tupo naye Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, leo hii anaendelea anafundisha juu ya maneno haya “Mungu wangu mbona umeniacha?”

    L'articolo Je, wafahamu tafakari ya maneno alio ya toa Yesu Msalabani? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    53 mins

What listeners say about Radio Maria Tanzania

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.