• Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

  • Jun 17 2022
  • Length: 8 mins
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

  • Summary

  • Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo. Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.