• Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

  • Jul 4 2022
  • Length: 8 mins
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

  • Summary

  • Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano. Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha. Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.