• Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

  • Jun 3 2022
  • Length: 8 mins
  • Podcast

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

  • Summary

  • Allan Wanga anayewania kiti cha urais katika Shirikisho la soka la Kenya [FKF], alikuwa mchezaji wa timu ya Kitaifa ya Soka Harambee Stars. Wanga anaelezea mikakati aliyoweka katika kulenga kuwa Rais wa FKF. Katika mazungumzo na wanahabari wetu Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Wanga ambaye ni mfanyakazi katika Kaunti ya Kakamega anasema Kenya inahitajikiongozi ambaye ana ufahamu mkubwa wa masuala ya soka.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.