• Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

  • Jan 20 2022
  • Length: 43 mins
  • Podcast

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

  • Summary

  • Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.